Kiukweli sikuwahi kuona ndege hizi zilizonunuliwa apa juzijuzi
Jana ndo siku ya kwanza kuiona ikiwa inatua, its nyc looking na ata muonekano wake hunaonekana mkubwa tofaut na pichani
Ndege hizi ni nzuri kwa muonekano na ata rangi yake japo inahitaji rangi ya kuvutia zaidi
Ni wakati muafaka wa Air Tanzania kuingiza watu wanaojua biashara vizuri kuendesha shirika yaan jopo la wachumi na maendeleo ya shirika
Its only logical, "kama zamani ndege zilikuwepo na shirika likafa, nini kilikuwa tatizo??"
Kama tatizo hilo lipo its only a matter of tym kabla halijafa tena
Au wenda uoga walionao kwa Magufuli ndo unalifanya liendelee kuwepo.
Kama mtanzania ningependa hili litatuliwe mapema ili mika 100 ijayo wajukuu wetu waweze kujivunia kuwa watanzania
All in all ni maendeleo makubwa kuona shirika linafufuka japo ningefrahi kuona gharama inapangwa kibiashara zaidi ili kukuza faida na kufanya upandaji ndege iwe affordable ata kwa wenye uwezo wa chini
Note:
Shirika litaendelea kama mambo haya mawili yakiangaliwa vizuri
>kumfurahisha mteja
>mapato yapatikanayo kutumika kwa manufaa ya shirika