Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,038
- 4,752
Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake.
Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki.
Kiongozi mmoja wapo aliyewahi kumpinga JPM adharani akiwa amefariki ni Januari Makamba na Baba yake. Hawa walitoka adharani nakusema viongozi wazuri hawafi, utawala wa JPM ulikuwa wa kikatili na kwamba nchi iliua diplomasia.
Tofauti na hii royal family viongozi wengine ni wakina nani?