Ni ubwege kudai UKAWA walishinda Uchaguzi wa Urais 2015

ni bwege na tahira pekee anajua magufuli alipita kihalali huku magufuli mwenyewe anajua alipora ushindi
 
Wapo mabwege wanaoona ufahari kudai kuwa UKAWA walishinda Uchaguzi na kwamba waliporwa ushindi. Ni aibu sana kwa mtu anayetoa madai hayo wakati hesabu zinagoma kabisa kwa kuzingatia matokeo ya Ubunge na Udiwani. Viongozi wa UKAWA baada ya kuona wameshindwa vibaya kwa kujitoa aibu wakaandaa Propanda za kuudanganya Umma ili waonewe huruma! Watanzania makini walio wengi walikataa utapeli wa UKAWA wakachagua maendeleo na wasingeweza kamwe kuiweka Nchi rehani na kuifanyia Majaribio ya Utawala!!!
Naamini wewe ndio mwege wa mwisho umeona umeya dar?kilombero, Tanga bado tu huamini tu kwamba ukawa walishinda?basi tukupeleke mirembe ukapimwe akili.
 
Inawezekana hata CCM kung'ang'ania kushinda umeya jiji la Dar ni ubwege vile vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom