Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 519
- 2,324
Ni kama Mungu ameumba idadi sawà kati ya wanaume na wanawake. Kwa kuzingatia idadi ya wanawake na wanaume Tanzania na hata duniani kwa ujumla. Statistics zinaonesha wanaume ni 50.4% na wanawake ni 49.6% world wide.
Roughly unaweza kusema idadi ya wanawake na wanaume ni sawà japo Kuna deviation kidogo kwenye idadi.
Ukienda jela wanaume ni wengi, so hii inazid kutengeneza balance kwenye idadi. Manake ni kwamba kwa kila mwanaume mmoja anaingia mwanamke mmoja pia.
Simply ukioa wake wawili umekinzana na nature reflection yake Kuna mwanaume sehemu atakosa MKE directly. Possibility ya huyo Mwanaume kua gasho ni kubwa.
Ni vile tu thinking capacity ya majority of Africa iko chini Ila polygamy ni ubinafsi wa kijiangalia wewe pasi kuangalia maslahi ya watu wengine na future.
Imagine mwanaume anaoa wake 4 anajitapa chukulia kila mwanaume angefanya hivyo, then what Will happen next.
Tumia logics and facts kama Solomon alioa wake 1000 hii ilitokea kwa sababu ya namba za wanawake zilikua kubwa japo biblia hajia thibitisha.