CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,289
- 12,956
oh pole, hakubusu? hakusaidii? hasaidii ndugu zako? mh hujawahi kunufaishwa chochote kweli kwenye mapenzi?
Nimenufaika kubadili status tu...
oh pole, hakubusu? hakusaidii? hasaidii ndugu zako? mh hujawahi kunufaishwa chochote kweli kwenye mapenzi?
oh hongera sanaNimenufaika kubadili status tu...
Mnh..Zamani nilikua nimepotea kabisa!!! Yaani sijui ningekua wapi kama sio yule kaka!!! Alinipenda na akaniweka karibu... Hakujali madhaifu yangu akanikubali na kuniongoza katika nja iliyo sahihi!!! Yaani yule aliku malaika jamani!!! Si kwa uvumilivu ule
Hongera.....sanaZamani nilikua nimepotea kabisa!!! Yaani sijui ningekua wapi kama sio yule kaka!!! Alinipenda na akaniweka karibu... Hakujali madhaifu yangu akanikubali na kuniongoza katika njia iliyo sahihi!!! Yaani yule aliku malaika jamani!!! Si kwa uvumilivu ule
AsanteHongera.....sana
Basi wewe ningekufaa eenhe!!!Mimi nilichojifunza ni kwamba mwanamke "mgumu", nikimaanisha atakayenichamba wakati nikimtongoza, anayeringa na kunitolea nje, mwenye nyodo, anayenisema ama kunishitaki kwenye "uongozi"ili nikanywe nimkome kumfuatilia,asiyenipenda na kudhihirisha toka kwa watu aliowaeleza kunichukia kwake.
Wote wenye sifa mojawapo ni wanawake bora sana uingiapo nao mkataba wa kimapenzi, kuliko wanawake "maharage ya Mbeya" wanaoiva hata kwa mvuke.
Kawaida yangu, huufanyia mazoezi ubongo wangu usidumae kwa kujaribu kutongoza mwanamke kwanza kabla sijaingia kwenye maamuzi ya kupenda ama kuanzisha mahusiano nae ya kimapenzi, yaani hutongoza kwa kujifurahisha.
Sasa yeyote akijifanya "mbogo" labda hadi kunitukana matusi mazitomazito 'unikome kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mamako'. Hapo ndipo huunganisha hisia halisi za kimapenzi kwake. Sichagui sura, ninachagua msimamo na kushindanisha point, nani awe mshindi, mimi au yeye. Tayari huwa ameanzisha ligi tena huyo huwa amejichimbia "kaburi" lake mwenyewe la kimahusiano. Huyo ni lazima "aende na maji".
Lazima nimnase kwa gharama yoyote ile. Na ndiyo aina ya mpenzi nnayetaka kuwa nae. Sura, sura kitu gani! Wanawake wote ni sawa chini ya jua.
Mwanamke yeyote rahisirahisi, bila kujali umbile lake, simpedi na kamwe siwezi kuanzisha nae mahusiano. Maana raha niipatayo kwenye mapenzi, kwangu mimi si kingine bali ni msimamo na maongezi.
Mwanamke ninayeweza kumpata kwa mbinde, nitamkamata kama "glass", kutokana na mazingira ya shida na manyanyaso yaliyoniwezesha kumpata, siwezi "kumchezea".
Hongera sanaMhhhh kumpata MTU ayakayeniangalia kwa namna ya kunipenda ma kunithamini imekuwa faraja kubwa sana kwangu, nyingine ni kupewa watoto wazuri na mungu wangu kwakweli Mie huwa nasema" GOD HAS BEING A FAIR MAN TO ME"