yajutu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 951
- 1,206
Mambo yatapigwa lakin mpaka nitulie kidogo maana sio mchezo kupewa mzigo kilaini,nikuambie kitu MAHONDAW ukitaka kuamini mwanaume hua hawana saund akutongoze mkubalie, hapo hapo uone atakavyo pata wenge atashindwa aendelee na niniHapo kama unakua na mchecheto vile unaeza hata kupiga mambo kijasiri hapo kweli? ?