Ni nini husababisha mwanaume kuridhika kimapenzi kwa kugusa viungo vya mwanamke?

ile kitu ni kama pepo!
Kwa mwanaume Rijali hasa akikutana na mtoto white/black beuty matata akimwona vile alivyozaliwa Heart Beat inachange, Ile kumgusa tu Joto lake daah!!!!!!!
Usije ukashangaa tunakutangazia ndoa, yaani hapo we tuulize swali lolote tutakujibu!
NB; hii ni kwa Manzi tunayemzimia
 
Kinachosababisha mwanaume kumwaga haraka ni moja kati ya haya:
1.Punyeto
2.Kukaa mda mrefu bila kufanya mapenzi
3.Hofu/woga
4.Kuangalia filamu za ngono mara kwa mara
5.Kukosa nguvu kutokana na kula vyakula vya ovyo kama vile chips yai
6.Kuwa na mzuka uliopitiliza
7.Kutokuamini kama mudada amekubali kutoa papuchi kirahisi hivyo
Mkuu popote ulipo agiza coca baaridi nalipia,yaani mimi kinacho nichanganyaga ni mwanamke mzuri nimpige saund kwa utani halafu akubali kunipa mzigo tena bila shilingi,hua najikuta mapigo ya moyo yana kasi ya ajabu halafu mwili unakua wa moto sana nikiwa nae gheto mpaka ananiuliza hiyo hali nilio nayo ila nikitulia kwa mda ndipo natulia sasa
 
Siyo kwamba anaridhika ila anajikuta amefikia mshindo ilhali yeye kiuhalisia bado anahamu na tendo husika. Hiyo hutokana na hofu aliyonayo,kutokujiandaa vizuri kisaikolojia, kuwa na papara. Kwa wanaume wa aina hiyo wanatakiwa kuacha papara,kuwa tayari na pia kufanya mazoezi ya viungo .

Kuhusu wingi na upungufu inatokana na aina ya vyakula anavyokula pia inategemea na kwa kipindi gani amekaa bila kufanya. Iwapo mwanaume amepiga shot 6 * 6 kwa mfululizo wa siku tano na lishe yake siyo imara anaweza asitoe kabisa ila akatoa maji maji au yeye anaweza kujisikia kama anamwaga lakini hakuna kitakachotoka
Hapa nasemea ile kumshika tu Au kugusa kiungo fulani ukaridhika. .
 
Siyo kwamba anaridhika ila anajikuta amefikia mshindo ilhali yeye kiuhalisia bado anahamu na tendo husika. Hiyo hutokana na hofu aliyonayo,kutokujiandaa vizuri kisaikolojia, kuwa na papara. Kwa wanaume wa aina hiyo wanatakiwa kuacha papara,kuwa tayari na pia kufanya mazoezi ya viungo .

Kuhusu wingi na upungufu inatokana na aina ya vyakula anavyokula pia inategemea na kwa kipindi gani amekaa bila kufanya. Iwapo mwanaume amepiga shot 6 * 6 kwa mfululizo wa siku tano na lishe yake siyo imara anaweza asitoe kabisa ila akatoa maji maji au yeye anaweza kujisikia kama anamwaga lakini hakuna kitakachotoka
Asante nimekuelewa
 
Mkuu popote ulipo agiza coca baaridi nalipia,yaani mimi kinacho nichanganyaga ni mwanamke mzuri nimpige saund kwa utani halafu akubali kunipa mzigo tena bila shilingi,hua najikuta mapigo ya moyo yana kasi ya ajabu halafu mwili unakua wa moto sana nikiwa nae gheto mpaka ananiuliza hiyo hali nilio nayo ila nikitulia kwa mda ndipo natulia sasa
Hapo kama unakua na mchecheto vile unaeza hata kupiga mambo kijasiri hapo kweli? ?
 
Mkuu popote ulipo agiza coca baaridi nalipia,yaani mimi kinacho nichanganyaga ni mwanamke mzuri nimpige saund kwa utani halafu akubali kunipa mzigo tena bila shilingi,hua najikuta mapigo ya moyo yana kasi ya ajabu halafu mwili unakua wa moto sana nikiwa nae gheto mpaka ananiuliza hiyo hali nilio nayo ila nikitulia kwa mda ndipo natulia sasa
 
Tehtehteee unanikumbusha rafikiangu mmoja wa kiume ali ejaculate wakati wa practical ya biology ..msimamizi kasema muda umebaki nusu saa afu akicheki ajamaliza ...alisimamisha ghafla kitu akamwaga ...tulipotoka kwa paper alinisimulia kikachekaaa
 
Back
Top Bottom