Ni Nchi Tano tu zinatengeneza nusu ya Pato la Taifa la Afrika

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
14,472
17,533
Pato la Taifa la Afrika linafikia dola trilioni 2.8 mwaka 2024, pato la kiuchumi la watu bilioni 1.4. Lakini sio tija yote hiyo inasambazwa kwa usawa.

Ramani hii inaangazia nchi tano ambazo pato lao la kiuchumi kwa pamoja ni sawa na lile la bara zima. Data imetolewa kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa, iliyosasishwa mara ya mwisho Aprili 2024. Takwimu za Sahara Magharibi na Eritrea hazijajumuishwa kwa sababu ya kutopatikana.

Mapped: Just Five Countries Make Up Half of Africa’s GDP
 
US peke yake ni zaidi ya Africa internal revenues zake ni zaid ya 4 trion kwa mwaka.
 
Mimi nawasiwasi hawa wazungu wanaprint pesa zao wenyewe wanaziongeza kwenye mzunguko..mfano africa tunataka kukoba dollar billion 5 kwa mwaka hawa watu kweli si wanaprint tu na kutupatia huku wakiendelea kutudai na riba juu.
Zina printiwa ndio mkuu , kwani ulifikiri pesa zinatoka sayari gani mkuu wangu?
 
Mimi nawasiwasi hawa wazungu wanaprint pesa zao wenyewe wanaziongeza kwenye mzunguko..mfano africa tunataka kukoba dollar billion 5 kwa mwaka hawa watu kweli si wanaprint tu na kutupatia huku wakiendelea kutudai na riba juu.
Ndiyo manaake uchumi wao unauwezo wa kudhibiti mfumko wa bei, wewe jaribu kuprint uone mfumko wa bei utakapo kua hatari
 
Afrika si Nchi wala Taifa.

Afrika ni bara.
...hio ina maana hakuna hoja hapa.
============

Same ole Script.

Africa is not a Nation- People
 
duuuh bongo population inaenda 68M, kufikia 2040 tunaweza kuwa 100M, 😆 serikali icontrol hii population growth
 
Mimi nawasiwasi hawa wazungu wanaprint pesa zao wenyewe wanaziongeza kwenye mzunguko..mfano africa tunataka kukoba dollar billion 5 kwa mwaka hawa watu kweli si wanaprint tu na kutupatia huku wakiendelea kutudai na riba juu.
USA ndio zake,hizi hebu imagine China kwa miaka karibu 10 sasa anaingoza kwa export,lakini uchumi wake dhidi wa USA upa pale pale.
 
Mimi nawasiwasi hawa wazungu wanaprint pesa zao wenyewe wanaziongeza kwenye mzunguko..mfano africa tunataka kukoba dollar billion 5 kwa mwaka hawa watu kweli si wanaprint tu na kutupatia huku wakiendelea kutudai na riba juu.
Kama wangekua Wana print tu si kungekua na mfumuko wa bei ?
 
duuuh bongo population inaenda 68M, kufikia 2040 tunaweza kuwa 100M, 😆 serikali icontrol hii population growth
Kwa nini tu control,kama South Korea yenye idadi ya watu 51M kwenye eneo la km za mraba 100,000 ambapo eneo hilo ni mara 9 ya eneo letu,je sisi wenye watu 67M kwenye eneo la mara 9 ya South Korea.
Bado tuna resources nyingi including eneo kubwa la rutuba,acha watu wazae ipatikane nguvu kazi-Tanzania kuna mapoli na mapoli hayana watu.
 
Mimi nawasiwasi hawa wazungu wanaprint pesa zao wenyewe wanaziongeza kwenye mzunguko..mfano africa tunataka kukoba dollar billion 5 kwa mwaka hawa watu kweli si wanaprint tu na kutupatia huku wakiendelea kutudai na riba juu.

😂😂😂

Hebu angalia hii video hapo chini ndo utajua kuwa nyie "MPO" a.k.a EXISTING NA WALA "Ha -MUISHI".. a.k.a LIVING kuna watu walishatengenza mifumo 100 and 100 years ago huko sasa hv wana dictate muishi vip mdundo gan mcheze
 
Back
Top Bottom