Ni nani yupo nyuma ya haya mapokezi makubwa ya Mh Mnyaa (CUF) huko Dsm?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
MAPOKEZI MAKUBWA KUFANYIKA D'SALAAM KUMPOKE MHE HABIBU MNYAA.(MBUNGE)


Tayari maandalizi KABAMBE yanaendelea mkoani D'Salaam kumpokea Shujaa wetu Mhe MOHAMEDI HABIBU MNYAA Mbunge wa Bunge la AFRIKA MASHARIKI.

Ni baada ya KUWASHINDA mafisadi na wauza Dawa za KULEVYA wakiongozwa na mtuhumiwa mkuu wa madawa ya KULEVYA Freeman MBOWE (MAKENGEZA).

WATANZANI wote mashuhuda Jana TUNDU la KISU liliumbuka baada ya kushindwa kutafsiri Kanuni za uchaguzi wa EALA.

KILA TAWI LIJIANDAE FUSO TATU MAPOKEZI YATAANZIA MBEZI MWISHO.

Taarifa kamili tutajuzana STAY TUNE hapa hapa

"IKISHINDA CUF TUMESHINDA SOTE"

[HASHTAG]#NaBado[/HASHTAG] David maphone katika ubora wake miaka 800.
 
Daah pole sana kama wewe ni mtoto Wa kiume kuandika hivi
 

Wewe ni mbwa
 
bro siasa sio ugomvi, hapa tulikuwa tunachagua wawakilishi wa nchi kwenye mambo yanayogusa inshu nyeti za nchi katika jumuiya ya EAC,
sasa kwanini uandike thread kwa matusi na kutukana watu , kitendo hicho tu kinaonyesha ni jinsi gani hujitambui ila mapenzi ya chama ndo yanakuendesha
siku nyingine jitafakari kabla hujatoa post yoyote mkuuu
 

Watu kama wewe ndo hamtakiwi humu. Akili zako zimekimbilia kisiginoni... Tumia maneno ya busara si kuja na ushabiki hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…