Asante sana sana ndugu yangu. Habari za siku nyingi? @MANI @lusungo @zumbemkuu siwaoniMada nzuri sana si kwa waajiriwa tu hata sisi tuliojiajiri inapaswa kutanua mawazo ili kuongeza pato.
Mkuu hio ni mada nyingine na siku nyingine, ngoja leo tushauriane kwanza na hawa wenye ajira. Mungu akipenda tutajadili hii ya kwako next week. BlessedHiyo ni kwa walioajiriwa na sisi tusiokua na ajira unatushauri nini?