Ni mtu mjinga tu anayeshangaa kwanini Mbowe anamrejesha Dkt. Slaa CHADEMA, Siasa ni hesabu za mbali hii Dunia inapita kipindi kigumu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,105
164,482
Binafsi namuunga mkono Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe aweze kumrejesha Chamani Dr Slaa

Dr Slaa aliondoka Chadema kwa heshima kupisha maamuzi muhimu ya kihistoria ya Kamati kuu ya Chama

Hata Mdee na Bulaya bado wameonesha nidhamu kwa Chama ukifika wakati wafikiriwe ili muanzie pale mlipoachia 2015

Mungu wa Mbinguni Ibariki Chadema
 
Siwezi mshangaa Mbowe kumrudisha Dr Slaa
Kama ninavoshangaa Makonda kuwa msemaji wa ccm.
 
Back
Top Bottom