Ni movie Gani ilkutisha Enzi hizo?

Ni movie gani enzi hizo ulikua hutaki kuangalia kwasababu ilikua inakutisha lakini sasa hivi unaona ni upuuzi tu.
Mimi binafsi ni ile ya Insyuka yani nilikua nikiiona sitembei pekee yangu gizani lakini sasa hivi naiona ni upuuzi mtupu.

Vipi upande wako?
Nsyuka
 
Kanayo O Kanayo;Tony Umez;Oge Okoye;Clem Ohameze;Patience Ozokwor;Fabien Adibe na wengine
ivyo vichwa vilvyosimama hapo ni noma juu ya balaa
Japo sasa hv umaarufu wa Nollywood /Ghallywood umepungua lakini bado kuna vichwa vinasumbua kwenye hizi ritual movies kuna kijana anaitwa Yull Edochie mtoto wa Pete Edochie anakimbiza mbaya;Kanayo O Kanayo bado yuko vzuri na mwehu mmoja anaitwa Jerry Amilo aka sura mbovu
 
1. The end of wicked (nollywood)
2. Sakobi
3. Crystal Hunter
4. The Woman
5. Drug me to hell
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom