mzado
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 1,023
- 1,531
mwadela Ushimen hahahaEnzi zangu sikuwahi kuwa na access ya kuangalia movies.
Zaidi tulipata wasaha wa kwenda pale Ukumbi wa Mwanaisungu Tabora, ikiwa ni kutazama sinema ya Samson na Delila, Kuzaliwa kwa Yesu na Mama jusi safarini, hadi kifo cha Yesu na kufufuka kwake.
Tena maranyingi niliweza kwenda sinema siku ya Christmas na Pasaka