Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,588
- 1,190
MBUNGE SEBASTIAN SIMON KAPUFI Anauliza, Ni lini Serikali Itakamilisha Mradi wa Njia Nne ya Umeme Kutoka Tabora hadi Katavi Wenye Thamani ya Shilingi Bilioni 116?
"Nini mpango wa Serikali katika kuunusuru Mji wa Mpanda dhidi ya kukatikakatika kwa Umeme?
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema mradi wa ujenzi wa njia ya umeme kutoka Tabora hadi Katavi wenye thamani ya shilingi Bilioni 116 umefikia asilimia 58, ambapo utakapokamilika utauunganisha mkoa wa Katavi kwenye gridi ya Taifa.
Naibu Waziri Judith Kapinga ametoa kauli hiyo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Katavi, Sebastian Kapufi aliyetaka kujua ni lini mradi huo utakamilika.