Paka noma sana ...mi juzikati nilitaka kuua paka wa jirani sababu wanapenda kukaa kwetu(kuchafu) na kuzaazaa ovyo basi nikanunua samaki na kuweka sumu ya panya paketi mdogo 3 ...nikakuta bakuli imelambwa kabisa cha ajabu baada ya siku 3 mnakuta karudi na familia yake kamili....Chezea nyauHahahaha nakumbuka uncle alichukua jiwe akalifunga kambi then akamchukua paka akamtia kitanzi like jiwe akalitupa kwenye maji
hao wametumwa kaka shtuka. Kuna wale wanatoa milio Fulani mida ya usikuPaka noma sana ...mi juzikati nilitaka kuua paka wa jirani sababu wanapenda kukaa kwetu(kuchafu) na kuzaazaa ovyo basi nikanunua samaki na kuweka sumu ya panya paketi mdogo 3 ...nikakuta bakuli imelambwa kabisa cha ajabu baada ya siku 3 mnakuta karudi na familia yake kamili....Chezea nyau
Aisee nimeamua kuwakaushia tu...hao wametumwa kaka shtuka. Kuna wale wanatoa milio Fulani mida ya usiku
Kuvinyonga naona hurumaPaka anazaa watoto wengi sana aisee