Ni kweli kuhusu Rais Magufuli?

Kaka ulitaka kumsifia Rais, basi ungemsifia tu kwa kwenda moja kwa moja. Ila ulichokiandika hapa kinatupa shida kutambua jinsia yako na umri wako pia
 
Hata Magufuli anachofanya ni kuitoa nchi kwenye mikono ya wachache wapiga deal na kuifanya iwe na ufanisi kwa watanzania wote, especially maskini.
Lazima tukubali kila hatua anazochukua zinachangamoto zake
 
Mmmmmmmh humu ndani tatizo Kila mtu anajua hv matusi ya nn mtu anapotoa hoja si tuipinge kwa hoja pia.,,"!nimegundua watu wote wanaotukana na kupinga kila hoja inayotolewa hawaishi hapa nchi wengi wao ndiyo washambuliaji wakubwa,na ndiyo walikuwa wapiga deal ndo maana kila jambo wanapinga tu.mtt wa kambo hata ukimlea vzr vp atalalamika tu.
 
Kwanza ni mpongeze kwa kazi nzuri inayoifanya ya kujenga taifa imara.

Swali, kuna nguvu Kubwa nyuma ya pazia kupitia vyombo vya habari, baadhi vinavyomilikiwa na wahuni wachache, ambao wanalengo la kukwamisha juhudi za mheshimiwa Magufuli, kwa kuamua kupotosha ukweli halisi wa hatua anazochukua dhidi ya uhalifu nchini dhidi ya raslimali zetu.

Je? Rais Magufuli atakwama kwa kua magazeti hayaandiki mazuri atendayo kwa taifa hili.
Je kwa Tanzania ya sasa source ya habari ni magazeti pekee?
Mwambie dereva wa lori kuwa huku kitaa maisha ni magumu,umasikini umeongezeka.

Sijui ni kwa nini haya magazeti hayaandiki kuhusu ugumu wa maisha huku mitaani.
 
Kwanza ni mpongeze kwa kazi nzuri inayoifanya ya kujenga taifa imara.

Swali, kuna nguvu Kubwa nyuma ya pazia kupitia vyombo vya habari, baadhi vinavyomilikiwa na wahuni wachache, ambao wanalengo la kukwamisha juhudi za mheshimiwa Magufuli, kwa kuamua kupotosha ukweli halisi wa hatua anazochukua dhidi ya uhalifu nchini dhidi ya raslimali zetu.

Je? Rais Magufuli atakwama kwa kua magazeti hayaandiki mazuri atendayo kwa taifa hili.
Je kwa Tanzania ya sasa source ya habari ni magazeti pekee?
Ni wajibu wa kila kiongozi kufanya mazuri kea taifa lake. Eti leo utasikia kiongozi wa kiafrika akiachia madaraka anajisifu nimefanya. Kwani alichaguliwa ili afanye nini ???
 
Mkuu ulioleta ni umbea na uchochezi..huyu rais hana beef na mtu na afanyakazi vema, vyombo vinamuunga mkono na ndio maana anaonyeshwa somtime live.

Sasa wewe useme umbea gani huo na nani kakuambia ukamuulize..Huyu Rais anaelewana na wasanii na wanahabar isipokuwa bashite ambae watumishi 9000 waliofoji vyeti atamegwa tuu
 
Pamoja na elimu yetu ni mbovu ila vijana wa Lumumba aisee hawataki kushughulisha kabisa ubongo wao, kama huyu aliandika huu uzi
 
Hivi huu ujinga kama wa mleta mada utaisha lini? hizo ni akili za kibashite issue ni kua vyombo vya habari vimeshamstukia jamaa ni msanii, mtaka sifa, mpenda kusifiwa na mtengeneza sinema...hivyo anapotezewa hivi mtu ana jeshi,ana serikali, ana polisi ana kila kitu cha kumfanya afanikiwe katika uongozi wa serikali anakwamishwa kivipi na vyombo vya habari
 
Kwanza ni mpongeze kwa kazi nzuri inayoifanya ya kujenga taifa imara.

Swali, kuna nguvu Kubwa nyuma ya pazia kupitia vyombo vya habari, baadhi vinavyomilikiwa na wahuni wachache, ambao wanalengo la kukwamisha juhudi za mheshimiwa Magufuli, kwa kuamua kupotosha ukweli halisi wa hatua anazochukua dhidi ya uhalifu nchini dhidi ya raslimali zetu.

Je? Rais Magufuli atakwama kwa kua magazeti hayaandiki mazuri atendayo kwa taifa hili.
Je kwa Tanzania ya sasa source ya habari ni magazeti pekee?
Wataje "wahuni" unaowajua!
Kama wewe mwenyewe si mhuni tutajuaje?
 
Huyu aliyeandika hapa atakuwa mume wa cocochanel manake akili zinafanana!
 
Back
Top Bottom