Ni kweli baadhi ya wauza mihogo wanaotembeza na beseni wanajiuza?

ebbyramadhani

Senior Member
Jan 5, 2017
101
109
Habari waungwana,

Eti wanasema baadhi ya wale wadada wanaouza miogo, nazi na machungwa wanaotembeza kwenye mabeseni wanajiuza mzee niliomsikia akisema ivo.

Amesema yeye ashajaribu kama mara kadhaa hivi amethibitisha
kwa maana wanauza na vitu vingine, ukiongea nao fresh tu na pesa yako.
 
siunajua mtaji mzima unakuta elfu 10 mtu anampa hiyo pesa maramoja halafu anamwambia twende kumangana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…