Ni kwa namna gani wamiliki wa Hoteli na Airbnbs, wanaweza kusaidia kupunguza mauaji ya Wanawake?

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,136
1,956
Wakuu,

Miongoni mwa maeneo yanayotajwa kuongoza kwa kutokea matukio ya Mauaji ya Wanawake Afrika ni kwenye gesti, hoteli na katika miaka ya hivi karibuni Air Bnbs.

Sasa, swali ni je? Wamiliki wa maeneo hayo wanaweza kuchukua hatua gani za kiusalama ili kupunguza matukio haya?

Karibuni kwa mjadala
 
Back
Top Bottom