Ni kosa kuzaa na binamu yako

Wakuu

Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza)

Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba)

Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua vzuri( hachekeshi)

Ushauri gani umfae kwa sasa?
Ni kosa kisheria,kumbuka wale kaka na dada wa shy town mmoja mvua 30,kaka mdogo mtu mvua 20.
 
Wakuu

Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza)

Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba)

Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua vzuri( hachekeshi)

Ushauri gani umfae kwa sasa?
Yawezekana ikawa kosa au sio kosa, kutegemea na njia iliyotumika kuzalishana kwao, kama ilifuatwa miongozo ya dini(kama ni waislam) kwa maana ya kufunga ndoa, hilo co kosa, lkn tofauti na hapo, ni Finaal Jhaanam.
 
20241004_181248.jpg
 
Wakuu

Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza)

Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba)

Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua vzuri( hachekeshi)

Ushauri gani umfae kwa sasa?
Binamu yako ni mtoto wa shangazi yako, ubini wake sio sawa na wenu tayari yeye ni wa ukoo mwengine hivyo hata akibeba mimba haina shida maana sio damu yenu.

Lomoni zitakuwa nyingi tu toka kwa walimwengu ila kimsingi haina madhara. Mbaya ni kumpa mimba mtoto wa baba yako mkubwa au mdogo maana yule mnashea damu.
 
Wakuu

Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza)

Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba)

Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua vzuri( hachekeshi)

Ushauri gani umfae kwa sasa?
Wanawake wote Hawa unatembea na binamu yako?
Subiri wataalam wa DNA waje wakuambie madhara yake.
Yale mataahira ya kiarabu unafikiri yanayokana na Nini?
 
Back
Top Bottom