NTEGEYE Jr
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 322
- 286
hata mwenyeji wake Pamoja na pacha wake hatambuliwi na ukawa, wacha watapetape siku zinaendaNaomba kuuliza, Je ni busara kumpokea Mh. Jacoub Zuma kipindi hiki ambacho Taifa lake halimtambui kama Raisi wao?
Halimtambui kivipi? Katiba yao inamtambua??Naomba kuuliza, Je ni busara kumpokea Mh. Jacoub Zuma kipindi hiki ambacho Taifa lake halimtambui kama Raisi wao?
true GTJe ni busara kuanzisha uzi wa aina hii??
Anapokelewa na nani?, hebu wataje kwanza wanaompokea ili tuwajadili kwanza hao wanaompokea maana hao ndiyo wanaweza kuwa tatizo
Naomba kuuliza, Je ni busara kumpokea Mh. Jacoub Zuma kipindi hiki ambacho Taifa lake halimtambui kama Raisi wao?