Ni bank ipi rafiki kwa maskini?

ua
NMB wana huduma mbovu sana hasa kwenye ATM! Dakika mara mtandao umekata mara hakuna pesa kwenye ATM wanakera sana
ebu toa mfano wa atm za wap?katika bank ambayo huku jf hailalamikiwi issue ya atm ni Nmb,let b fair kwa issue ya mtandao ilikua zaman miaka mitatu nyuma kwa sasa hapana,naongea hvyo kwasabau nazunguka sana Tanzania ktk biashaar zangu na kutumia Nmb kukutana na issue ya mtandao kusumbua ktk atm sasa hv ni historia.Suala la kutokua na pesa niseme linatokea kwa bank zote na kuna sababu nyingi may b niku pm utajua.
Suala la atm naomba iwe mada ya tofaut sana kwani upatikanaji wa huduma katika atm kuna factors nying na unaweza ukakuta atm ina hela haitoi na sababu ni ubora wa noti so usikimbilie kusema hela hakuna kuna factors zaid ya hela
 
Arusha jana hadi leo hapo ATM ya Philips hakuna mtandao na hakuna huduma?; na sio leo tuu

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Akiba Commercial Bank Plc; ni benki ambayo huduma zake ni nzuri na ukichukua mkopo riba zao sio kubwa na ukipata matatizo ya kulipa wanakaa na wewe na kushauriana jinsi ya kulipa badala ya kukimbilia kuuza dhamana!!
 
Bila kupepesa macho we n mfanyakaz WA NMB.

Mkuu ungenichambulia atlist bank tatu ili nkianza kutoa somo nisipendelee NMB peke akee.Yani nimpe mteja uhuru WA kuchagua kulingana na maelezo nitakayompa..
Kuna benki zaidi ya 50 fanya utafiti ujue gharama zao za kila mwezi na huduma nyingine utakazo hitaji.
 
Fungua akaunt kwenye hizi benki zisizo kuwa na wateja wengi ukifika tu unatetemekewa, achana na Mabenki yanawateja kiasi kwamba wengine wanaonekana si chochote kile. Sijaona cha kukumbilia CRDB wala NMB, mim nina akaunt Equity account ya biashara yaani wananibembeleza wanakopeshe. Sasa haya huwezi yasikia CRDB wala NMB,
 
wana matawi mangap
Matawai ya nini kwa ajili ua show off au? Hahaa Kenywa kwa sasa unataarifa wamehama kwenda kwenye Digital Bankinh systeam na wafanyakazi wengi wanaachishwa kazi. KCB pekee inaachisha wafanyakazi zaidi ya 500.
Tunako elekea matawai hayana haja tena, itafika mahali hata benki hutajua imepakwa rangi gani ndani make shughuri zote ni ki digitali tu.
 
Capitalist and poor people can't sit in the same table of negotiation,

so urafiki Wa Benki na maskini hakunagaaaaaaa
 
Back
Top Bottom