Ni baada ya muda gani ajira portal huita watu kwenye interview baada ya deadline ya maombi kufika?

AllanJnr

Member
Feb 5, 2019
96
98
Samahani wakubwa naomba kufahamishwa kwa wale wazoefu kidogo na Secretariat ya ajira.

Je inaweza ikachukua kipindi cha muda gani kufikia kuitwa kwenye usaili baada ya muda wa kutuma maombi kuisha? Msaada
Screenshot_20210906-070106_Chrome.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ni kuanzia wiki mbili na kuendelea pia kama umeitwa utaona kwenye account yako pamoja na namba ya mtihan pia huwa wanaweka majina kwenye website yao ajira.go.tz
 
Ila nadhani pia ni kulingana na wingi wawatu walioomba nafasi husika maana mfano kama Mimi niliomba tanesco na tra udereva decline ilikua ni tarehe 4 tanesco na tar 8 tra ila mpaka muda huu mkeka haujawekwa
 
Back
Top Bottom