RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,736
- 4,298
Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za Mei mosi eti kwa sababu kikokotoo ni mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote.
CCM katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa njia ya WIZI, watu wamechoka na maisha haya siyo wafanyakazi siyo wananchi WA kawaida wanaona mambo mengi hayaendi hasa utolewaji WA huduma katika taasisi za Serikali kwa ujumla.
Mama awe makini na washauri wake akiacha Kila kitu ndiyo mzee ajue anaenda kujimaliza mwenyewe kwenye uchaguzi mkuu!
Kikokotoo ajue NI shida kubwa kwa wafanyakazi Hilo neno lake kuwa tunaenda kulitazama linaendelea kuligharimu taifa hadi Sasa maana hakuna kinachofanyiwa kazi, wengi tumeona taarifa ya CAG, wengi wanadunda na mamilion yamepigwa.