Good observation. Kwanza wanajenga estate, na mara nyingi estate zinakuwa na sura moja. Pili wanauza, lakini wakasahau mnunuzi ana chaguo lake. Design, comfortabilty, aestheic condition, location etc ndio vinapanga bei. Kwa hiyo kujenga madarasa ya shule ya msingi na kuuza bei moja ni upuuzi wa kibiashara, kwa pande zote mbili , yaani mnunuzi na muuzaji. They are not rational. If one becomes rational, at least the outcome can be measured in terms sale proceeding i.e value for money.
Kwa maneno mengine, NHC hawajui tofauti kati ya estates zao za kupangangisha na za kuuza. Bora zingekuwa high rise, ukauza flats za room mbili mbili.