idiotwakuangaika na hayo mambo ni wale wamtumainie yule aliefufuka.
lkn mm i see i'm just an organism after death nothing more.
mweka mada unaweza kunihakikishiaje kwamba nguvu hiyo ni ya giza..?
KILA MTU NA MACHO NA AKILI YAKE. NINACHOKIONA MIMI HAPO NI MUKHTASARI WA MAENDELEO YA ULAYA KUTOKA USHURIKINA NA IMANI ZA GIZA KWENDA KWENYE MPAMBAZUKO MPYA WA SAYANSI NA TECHNOLOJIA!Hii ni ilikuwa ni ufunguzi wa handaki (tunnel) refu kuliko yote Duniani nchini Uswisi linalojulikana kama Gotthard base tunnel lenye jurefu wa km 57 linalopita kwenye milima ya Alps huko nchini Uswisi, handaki hili lilichukuwa miaka 17 mpaka kukamilika kwake!
Pamoja na hii teknolojia ya hali ya juu na ya kipekee ya ujenzi wa handaki hili kilichoshangaza labda Ulimwengu kuliko vyote ni siku Ufunguzi wa handaki hili ambapo kulihudhuriwa na wanasiasa na wakuu wa nchi za EU kama Ufaransa Raisi Holland, Ujerumani chancelor Merkel, Italia Waziri Mkuu Renzi ilikuwa ni matambiko ya kishirikina na kishetani yaliyofanywa na Wazungu hao (illuminati) ,
Karibu ujionee mwenyewe, naweka video clip na kwa watakaoshindwa kuona video naweka picha, muone illuminanti au watu waaminio shetani ambao ni viongozi wakubwa wa Dunia hii akiwemo Obama, Bill Gates USA, Merkel Ujerumani, Holland, Ufaransa na hawa wana nia ya kuunganisha Dunia yote na kuunda "One World Government,, ambayo itaongozwa na imani za kishetani na sasa hivi wameamua kupambana na ukristo (anti christ) kwani wanajua hiyo ndiyo nguzo ya mwisho, imetabiliwa hata kwenye Biblia!
Ufunguzi wa Gotthard Tunnel, Matambiko ya kishetani yalishuhudiwa na raisi wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na wengineo1.Yohana 2:18
Milima ya Alps ambyo chini yake imepita hiyo reli ya treni!
,,Say no to African electronic passport"!
Kula LIKE mkuuidiot
on howidiot
Hujielewi jamaaon how
Sioni nguvu za giza au uchawi wowote hapo, Bali ni tamaduni na mandeleo ya sayansi na teknologia yaliyokubuhu. Kudos Ulaya, nasi siku moja tutafika huko, Inshaallahh
On you.on how
"Lakn lazima utambue shetani yupo na anatawala"Kuna baadhi ya watu hawataki kuamini uwepo Wa haya mambo, lakn lazima utambue shetani yupo na anatawala. Na ana mawakala wake hapa dunian
Wakati fulani ibilisi aitwae shetani alimfata Yesu
Luka 4:2-
(3)lbilisi akamwambia, ukiwa ndiwe mwana wa Mungu, liambie jiwe hili liwe mkate. (4) Yesu akamjibu, lmeandikwa ya kwamba mtu hataishi kwa mkate tu. ...
..hapo nimejaribu kufupisha namna ambavyo ibilisi anavyotafuta mawakala, na kuwapa utawala Wa juu ktk ulimwengu huu
wakuangaika na hayo mambo ni wale wamtumainie yule aliefufuka.
lkn mm i see i'm just an organism after death nothing more.
mweka mada unaweza kunihakikishiaje kwamba nguvu hiyo ni ya giza..?
Ha ha haNamshukuru Mungu angalau roho yako inashuhudia ya kwamba alifufuka, ni achievement ya kwanza
Ha ha ha
i get it from the bible sio mimi nilieshuhudia
ni watu walioandika kitabu hicho.