Nguvu ya bunge katika kuwajibisha viongozi

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Wana Jf


Kikatiba Bunge na Mahakama ni mihimili tofauti inaojitegemea kabisa imesimama peke yake wala hautaingiliwi kiutendaji na wala kimaamuzi

Nimekua nikisikia mara nyingi sana uwezo na nguvu ya bunge (wabunge) katika kupiga kura ya kutokua na imani na viongozi yaani impeachment power, wadau naomba wajuvi watujuze uwezo huo wa bunge katika
utawala bora ni aina gani ya makosa akifanya kiongozi wa serikali anawajibishwa? Je ni kiongozi yoyote wa serikali au kwa wale wateule wa Rais na ni taratibu gani zinafuatwa, je ni wabunge wa aina gani au kutoka upande gani wanapewa uwezo huo kikatiba? Kura ngapi zinatosha?

Nawasilisha wadau kwa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…