Nguruwe wanauzwa

chovyachovya

Member
May 4, 2013
14
1
Nguruwe miezi 3 wapo 9 na wengine miezi 4 wapo 10 wanauzwa. Bei ya mmoja wa miezi 3 ni elfu 65 ya miezi minne ni elfu 90. Karibu inbox

Nguruwe wa miezi 4 inatakiwa awe na uzito wa zaidi ya kg 50. Ukichinja na ukauza kg 1 kwa tshs 5000 utakuwa na tshs 250, 000 kwa mmoja. Otherwise kama uliwafuga kienyeji
 
Nguruwe wa miezi 4 inatakiwa awe na uzito wa zaidi ya kg 50. Ukichinja na ukauza kg 1 kwa tshs 5000 utakuwa na tshs 250, 000 kwa mmoja. Otherwise kama uliwafuga kienyeji
Si rahisi hasa kwa mbegu zetu hizi za tanzania. Ki kawaida mbegu zetu zinakua kama ivoonyeshwa kwenye picha
 
Attachments

  • Screenshot_2017-01-26-19-23-22.png
    39.5 KB · Views: 256
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…