New Hit: Diamond Platnumz ft P Square

Tuacheee unafiki Jamanii,tuache kuropokaaa,tuachee uongo no matter wewe ni Shabiki wa Diamond au sio Shabiki wakee! Lakini kiukweliiii hii ndo Nyimbo anazo takiwa kufanyaaa diamond ili afike kimataifaa zaidi! Now watu hawataki kusikia maneno kwenye Nyimbo yako watu wanataka rahaaa na diamond kawapatiaaa! Angalia nyimbo Ya PANDA kwanini watu wanaipenda? Angalia nyimbo ya Rihana Work watu wanapenda nini?

Hii ndio video ambayo inaweza chezwa Trace na watu wasichoke kuitazamaa siku nzimaaa!!! Watu wata taka waangalie mda wote waige style za kuchezaaa! Hapa hata kama una ROHO MBAYA HII NYIMBO ikipigwaaa utachezeshaaa kichwa kama Sio Miguu!!! Diamond anahitaji pongeziii kwa kweliiiiii maana sio kwa video hii na nyimbo hii!

Naona Psqure wamemshauri vizuriiii!!! Ngoja tuwe mashahidi kwenye hii nyimbo wapi itafika!!! Nani katika level za kimataifaaaa zaidi ya Number one!

Number one ndio nyimbo iliyo mtoa diamond tena ilikuwa remix kwa style hihii sasa Huwezi kuchukua number one sasa uka compare na hii nyimbo!!! Hii ipo mbali! Msitake kuangalia soko la Tanzania Ambalo Diamond amesha tusua sasa anaangalia kimataifaa!! Hii nyimbo ni rahisi hata kuipigia show!

Angalieni wenzetu wanatupita wapi tusibaki kung'ang'ania kuimba ili bibi wa kijijini kwetu iringa aelewe nini Diamond anaimba! Hapana sasa watu wanataka kuona wewe una nini Kipyaa!! Hii nyimbo yeyote yule atachezeshwa kichwa no matter anaielewa au haelewi kinacho imbwaa!!! Shikamoo Psquare sio kwa ushirikiano huo mlio onesha bila hiyanaa!!

Mbona kwaito tulizipenda bila kuelewa nini wanamanisha? Sasa wewe nyimbo ipigwe halafu usichezeshe hata shingo basi ww ni gogo!!!

Ila twende mbele Turudi nyuma GOOD FATHER! ANAJUA! SHIKAMOO GOODFATHER MANA SIO KWA KUPANGILIA RANGI HUKO!!! Daaa colours za hii video sio za kitoto ujue!
 
Tuacheee unafiki Jamanii,tuache kuropokaaa,tuachee uongo no matter wewe ni Shabiki wa Diamond au sio Shabiki wakee! Lakini kiukweliiii hii ndo Nyimbo anazo takiwa kufanyaaa diamond ili afike kimataifaa zaidi! Now watu hawataki kusikia maneno kwenye Nyimbo yako watu wanataka rahaaa na diamond kawapatiaaa! Angalia nyimbo Ya PANDA kwanini watu wanaipenda? Angalia nyimbo ya Rihana Work watu wanapenda nini?

Hii ndio video ambayo inaweza chezwa Trace na watu wasichoke kuitazamaa siku nzimaaa!!! Watu wata taka waangalie mda wote waige style za kuchezaaa! Hapa hata kama una ROHO MBAYA HII NYIMBO ikipigwaaa utachezeshaaa kichwa kama Sio Miguu!!! Diamond anahitaji pongeziii kwa kweliiiiii maana sio kwa video hii na nyimbo hii!

Naona Psqure wamemshauri vizuriiii!!! Ngoja tuwe mashahidi kwenye hii nyimbo wapi itafika!!! Nani katika level za kimataifaaaa zaidi ya Number one!
Waambie mashairi mwisho chalinze Africa inataka kucheza tu maana ata awajui tunaimba nini.
 
simba.jpg
 
Hata Kiba alisema....Diamond haimbi mziki kama wake hivyo hajafikiria kufanyanae kolabo.

Lakini Kiba huyo huyo anafanya kolabo na Mziwanda, Mr Blue....hahahaha. Utadhani hao anaofanyanao kolabo wanaimba staili yake!
Hao wanamuomba maana nyimbo ni zao
 
Tuacheee unafiki Jamanii,tuache kuropokaaa,tuachee uongo no matter wewe ni Shabiki wa Diamond au sio Shabiki wakee! Lakini kiukweliiii hii ndo Nyimbo anazo takiwa kufanyaaa diamond ili afike kimataifaa zaidi! Now watu hawataki kusikia maneno kwenye Nyimbo yako watu wanataka rahaaa na diamond kawapatiaaa! Angalia nyimbo Ya PANDA kwanini watu wanaipenda? Angalia nyimbo ya Rihana Work watu wanapenda nini?

Hii ndio video ambayo inaweza chezwa Trace na watu wasichoke kuitazamaa siku nzimaaa!!! Watu wata taka waangalie mda wote waige style za kuchezaaa! Hapa hata kama una ROHO MBAYA HII NYIMBO ikipigwaaa utachezeshaaa kichwa kama Sio Miguu!!! Diamond anahitaji pongeziii kwa kweliiiiii maana sio kwa video hii na nyimbo hii!

Naona Psqure wamemshauri vizuriiii!!! Ngoja tuwe mashahidi kwenye hii nyimbo wapi itafika!!! Nani katika level za kimataifaaaa zaidi ya Number one!
N icho ndo wanachotuzidi wa nigeria nyimbo zao kupata rotation mziki kwny steshen kubwa yaan uwa hawaumizi akili ila ngoma inahit hata ukicheki hip hop yao simple n clear
 
Tuacheee unafiki Jamanii,tuache kuropokaaa,tuachee uongo no matter wewe ni Shabiki wa Diamond au sio Shabiki wakee! Lakini kiukweliiii hii ndo Nyimbo anazo takiwa kufanyaaa diamond ili afike kimataifaa zaidi! Now watu hawataki kusikia maneno kwenye Nyimbo yako watu wanataka rahaaa na diamond kawapatiaaa! Angalia nyimbo Ya PANDA kwanini watu wanaipenda? Angalia nyimbo ya Rihana Work watu wanapenda nini?

Hii ndio video ambayo inaweza chezwa Trace na watu wasichoke kuitazamaa siku nzimaaa!!! Watu wata taka waangalie mda wote waige style za kuchezaaa! Hapa hata kama una ROHO MBAYA HII NYIMBO ikipigwaaa utachezeshaaa kichwa kama Sio Miguu!!! Diamond anahitaji pongeziii kwa kweliiiiii maana sio kwa video hii na nyimbo hii!

Naona Psqure wamemshauri vizuriiii!!! Ngoja tuwe mashahidi kwenye hii nyimbo wapi itafika!!! Nani katika level za kimataifaaaa zaidi ya Number one!
Its now vivid that Diamond is well on his way to become Tanzania"s most famous son.,Ni Nyerere tu ambaye yuko mbele yake-akiendeleza hii trend ya mwendokasi ni hatari..
 
diamond ameshagundua africa wanataka kucheza tu...

hawataki kujua unaimba nini maana hata kiswahili hawaelewi...

na yeye anawachezesha tu...
 
Tuacheni unafiki,kwa wimbo huu,amechemka,Dogo Harmonize kapiga bao la kisigino kwa Matatizo!!
wimbo wa Harmonize utaishia ndani ya mipaka ya Tanzania,Diamond anaimba nyimbo akifikiria nje ya box-who ever is advising this guy is doing one hell of a good job
 
Kiongoz sio kwa kibao hiki,ni songi la kawaida saaana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom