New Hit: Diamond Platnumz ft P Square

myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,612
6,157
 
mtoa mada na anayefuta ni mtu mmoja..maana umepost show ya diamond kyela na hii kwa wakati mmoja..fanya kazi kwa uwazi sio kujifichaficha
Kwahiyo
ikiwa nina uwezo wa ku-post thread mbili kwa wakati mmoja basi bila shaka nitakuwa na extra ordinary power!

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo wote huo!
 
Naona Waafrika siku hizi na wenyewe wana dab!

That's what's up...keep putting ATL on the map [as if it wasn't already there anyway].

Halafu hapo mwisho kwenye simba ni dongo kwa mtu au..?

Btw, just AN FYI, dabbing originated in Atlanta....that's for you suckers who don't know.
 
Huu wimbo utapokelewaje na Africa? Ukizingatia hali ya sasa ya kundi la p square ina utata... Hicho ndio nachosubiri... Otherwise ni nice club banger.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…