Kajambe mbele we weMkuu sioni haja ya kutukana...halafu matusi hayajusaidii kitu kikubwa tu mi nakuona hujielewi..kila mtu anajua matusi but kwangu hayasaidii kitu kabisa na nakuona mtoto sana ukikua utaacha..sioni sifa kusema hivi lakini kama matusi level nilikuwa ni EXPERT.Angalia sana..ni ushauri wa bure.
Kajambe mbele we we