NEC yakigomea chama cha CUF

Uchaguzi wa Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayakufutwa, yaliyofutwa ni ya Baraza la Wawakilishi na ya Rais wa Zanzibar ambayo yako chini ya ZEC.

Hivyo NEC hahusiki.
Ulitakiwa kumuelewa kwanza kabla hujamquote... Raimundo
 
Lakini usimamizi unafanywa na ZEC kwa niaba ya NEC sasa inakuwaje leo NEC wanasimamia wenyewe?
Wewe ni Zaidi ya ZERO
ManyumbuZZZZ mnatabu saaaaaaaaaaaana,yaaani hata Siasa na majukum ya taasisi zake hamjui?
Yaani aibu kama JF kuna mtu mwenye uelewa kama wako kisha kuwa mnazi wa masuaa ya Siasa.

Ya Zanzibar tuachieni wenyewe,mtapotoshana sana,sie tunawaangalia tu
 
Lakini usimamizi unafanywa na ZEC kwa niaba ya NEC sasa inakuwaje leo NEC wanasimamia wenyewe?
Hapana! NEC wanasimamia uchaguzi wa mbunge na rais wa tanganyika tu! Then bench la ZEC wanasimamia uchaguzi wa Diwani, mwakilishi na rais wa Znz! Ktk jimbo tajwa hakuchaguliwa mbunge karatasi husika zilikua na hitilafu! Hivyo ikaunganishwa na uchaguzi wa marudio
 
Back
Top Bottom