NEC imeteua Wabunge 3 Viti maalum, CCM 2 na CHADEMA 1

Mfukutuzi

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
239
175
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeteua wabunge watatu wa Viti Maalumu.

CCM imepata viti viwili na CHADEMA kiti kimoja.

Wabunge hao ni Ritha Kabati (CCM), Oliver Semuguruka (CCM) na Lucy Owenya (CHADEMA).
 
Wameteuliwa na NEC moja kwa moja au majina yamepelekwa na vyama/ushirika wa vyama husika? Maana bila kufahamu hilo ni vigumu kusema chochote
 
Huyo Owenya hakuna mwanachadema mwenye vigezo mpaka awe yeye.
Poti, kiukweli hawa watoto wa Mtei wananiboa sana...

hivi Wao hawawezi kutafta jimbo wakapambana huko...kazi yao kubebwa tu?...aaaahhrgh!!!!

Pamoja na kuipenda Chadema..lakini kwa huyu Owenya.hapana...

hana hoja bungeni,
 
Majina yale yale labda mpya huyo semuguluka sijui....but wengine ni walewale
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeteua wabunge watatu wa Viti Maalumu.

CCM imepata viti viwili na CHADEMA kiti kimoja.

Wabunge hao ni Ritha Kabati (CCM), Oliver Semuguruka (CCM) na Lucy Owenya (CHADEMA).
Inategemea na utaratibu wao wa kupata wabunge wao wa kuteuliwa
 
Poti, kiukweli hawa watoto wa Mtei wananiboa sana...

hivi Wao hawawezi kutafta jimbo wakapambana huko...kazi yao kubebwa tu?...aaaahhrgh!!!!

Pamoja na kuipenda Chadema..lakini kwa huyu Owenya.hapana...

hana hoja bungeni,
Ulitaka apewe nani? Acha wivu na pilipili ya shamba.. ...........
 
Poti, kiukweli hawa watoto wa Mtei wananiboa sana...

hivi Wao hawawezi kutafta jimbo wakapambana huko...kazi yao kubebwa tu?...aaaahhrgh!!!!

Pamoja na kuipenda Chadema..lakini kwa huyu Owenya.hapana...

hana hoja bungeni,
Mkuu, una uhakika kama Owenya ni motto wa mzee Mtei? Usipende kulaumu tu mtu hata kama unamchukia sana huyo unaye mlaumu, mlaumu kwa lawama za kweli na sio za kupika.
 
Poti, kiukweli hawa watoto wa Mtei wananiboa sana...

hivi Wao hawawezi kutafta jimbo wakapambana huko...kazi yao kubebwa tu?...aaaahhrgh!!!!

Pamoja na kuipenda Chadema..lakini kwa huyu Owenya.hapana...

hana hoja bungeni,
...kwa hiyo anakuboa kwa sababu ni Owenya tu,wachawi bana,hata kwetu mpoo..!!
 
Huyo Owenya hakuna mwanachadema mwenye vigezo mpaka awe yeye.
Huyu ni mtoto wa Ndesamburo,Ndesapesa ni mfadhili mkubwa wa CHADEMA, Lucy Owenya ni mchaga. Ongeza zako hapo utajua kwanini kapewa ubunge. Kwanza alivyotoswa kugombea moshi vijijini nilishangaa sana, baadaye akatoswa viti maalum nako nikashangaa kumbe jamaa walijua kuwa bado kuna nafasi za viti maalum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…