Ndoa za utotoni na uchangudoa wa utotoni kipi bora?

ABAANADYA

Member
Apr 30, 2017
36
7
"Early Marriage" in Afghanistan or Child Prostitution in America; Mrs. Ruhla Ghani which one robs childhood and future opportunities? -
 
"Early Marriage" in Afghanistan or Child Prostitution in America; Mrs. Ruhla Ghani which one robs childhood and future opportunities? -
Heshima Mkuu!

Busara ni kuchagua kitu kizuri katika vizuri.Si kuchagua kitu kizuri katika vibaya.Hakuna kizuri katika vibaya ila kuna kizuri zaidi katika vizuri.

Asalaam!
 
Hamna kilicho bora kati ya hivyo..Vyote vinadhalilisha utu na staha ya mwanamke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…