Ndoa kwa mara nyingine Tena ya Dula Makabila na Mpenzi wake Naira wa Jua Kali

amadala

JF-Expert Member
Aug 20, 2017
4,265
12,236
Hello!!

Msanii wa singeli Dulla Makabila anatimiza ahadi yake leo aliyoitoa wakati akifanya interview na Dozen Selection kuwa haitafika Jumatatu lazima amuoe mpenzi wake Naira wa Juakali

Dullamakabila muda huu anatoka kwenye hotel yenye hadhi ya nyota tano Hyatt Regency na kuelekea kufunga Ndoa rasmi nyumbani kwa mke wake mtarajiwa.

Kaa karibu nasi kushuhudia matukio yote kupitia YouTube channel yetu ya Dozen Selection

Umemaanisha Nini uliposema ndoa kwa Mara nyingne? VP alimuoa akamuacha au alioa akaacha leo anaoa Tena?

Msaada sisi wa huku tabata kisukuru umetuacha njia panda
 
Hello!!

Msanii wa singeli Dulla Makabila anatimiza ahadi yake leo aliyoitoa wakati akifanya interview na Dozen Selection kuwa haitafika Jumatatu lazima amuoe mpenzi wake Naira wa Juakali

Dullamakabila muda huu anatoka kwenye hotel yenye hadhi ya nyota tano Hyatt Regency na kuelekea kufunga Ndoa rasmi nyumbani kwa mke wake mtarajiwa.

Kaa karibu nasi kushuhudia matukio yote kupitia YouTube channel yetu ya Dozen Selection

Vijana changanyeni mambo. Mnaoenda sana vitu vya watu badala ya kujipanga kimaisha hawa madada kama huna kitu wanakukimbia🤔. Jipangeni na kupigania maendeleo msije kubaki kushabikia tu wake za watu
 
Attachments

  • 1683909664891.png
    1683909664891.png
    13.5 KB · Views: 11
Vijana changanyeni mambo. Mnaoenda sana vitu vya watu badala ya kujipanga kimaisha hawa madada kama huna kitu wanakukimbia🤔. Jipangeni na kupigania maendeleo msije kubaki kushabikia tu wake za watu
Unavyoona Kila mtu anajitafuta no money, no marriage, no kids, no future. Hii ni mitandao uchague vya kuandika Kila mtu na priorities zake.
 
Back
Top Bottom