Wananchi wengi wanao uwezo wa kusafiri kwa ndege hasa wafanyabiashara. Serikali iunatarajia kuchagiza ujengwaji wa viwanda ni wazi mabosi wa kupanda hizo ndege watakuwapo wa kutosha. Hata mimi na ukulima wangu baada ya mwaka mmoja nitakuwa nasafiri kwa ndege kwenda kusalimu wazazi badala ya kukaa ndani ya chombo kwa kuilomita 1200