Kwa hiyo wamechokoza makusudi ili kuujaribu mtambo..?!
Mkuu maswali mengi ila nitajaribu kukujibu kutokana na uelewa wangu .Aisee kwanini wameshambulia kuna nini na kwanini jeshi la siria halijajibu mapigo then kwanini hizo ndege hazikudunguliwa
Walikuwa wana test silaha..!Aisee kwanini wameshambulia kuna nini na kwanini jeshi la siria halijajibu mapigo then kwanini hizo ndege hazikudunguliwa
h[n hawajqchokoza mkuu walikua na shughuloiu zao huko..aah US waongo coz wanahtajio tension ya pale 9endelee vilevile waendelee k8upiga biashara zaoKwa hiyo wamechokoza makusudi ili kuujaribu mtambo..?!
Naona na Marekani yuko karibu kutest silaha zake mpya kwa NK.
toka syria waanze hizo claims hawajawahi9 weka hata picha ya debrisNdege moja ya Israel aina ya F16s imetunguliwa na Jeshi la Ulinzi wa Anga la Syria na kuangua kuangukia mpakani mwa Jordan
Hakuna ndege hata moja ya Israeli iliyotunguliwa hayo ni mabaki ya kombora la Syria lililotunguliwa na Arrow system ya Israel.Ndege moja ya Israel aina ya F16s imetunguliwa na Jeshi la Ulinzi wa Anga la Syria na kuangua kuangukia mpakani mwa Jordan
The Syrian army has said it shot down an Israeli jet, which it claimed had attacked a military target near Palmyra.Israel said all its aircraft returned unscathed.The Syrian army high command said the jet was struck by an anti-aircraft missile after it had flown back into Israeli-controlled territory.It said it was one of four planes which "penetrated ourair space at 2.40am (12.30 GMT) via Lebanese territory".It added that an air defence unit hit another jet and"forced the rest to flee".The Israeli military said its aircraft struck several targets in Syria and were back in Israeli-controlled airspace when several anti-aircraft missiles were launched from Syria toward the Israeli jets.An Israeli military spokesman denied a jet had been shot down, adding: "At no point was the safety of Israeli civilians or the IAF (Israeli Air Force) aircraft compromised."After a number of anti-aircraft missiles were fired from Syria, rocket sirens sounded in Israeli settlements in the Jordan Valley.Israeli PM Benjamin Netanyahu met Vladimir Putinto discuss the Syrian conflict last weekOne of the projectiles was intercepted north of Jerusalem by Israel's Arrow air defence system.A civil defence source told Reuters news agency the remains of the missile landed in a village on the outskirts of Irbid, northern Jordan, about 12 miles from the Syrian and Israeli borders.The Israeli military did not confirm what was targeted.Damascus described the operation as "blatant aggression" and an attempt by Israel to support "terrorist gangs" of Islamic State.In recent years, both Israeli and foreign media have reported a number of Israeli airstrikes inside Syria targeting arms convoys of Lebanese militant group Hezbollah.In January 2015, Jerusalem was blamed for an airstrike which killed six Hezbollah fighters and Iranian general Mohammad Ali Allah-Dadi in a Syrian-controlled area of the Golan Heights.Top Storiestoka syria waanze hizo claims hawajawahi9 weka hata picha ya debris
hio ncxo shida ya syria tangu waanze kusema wametungua ndege za israel mpk leo hawajawah weka hata picha ya majivu......sasa kwe tukio hili ht kombora tu lililotunguliwa limeonekn huko lebanon lakin ndege haionekanThe Syrian army has said it shot down an Israeli jet, which it group Hezbollah.In January 2015, Jerusalem was blamed for an airstrike which killed six Hezbollah fighters and Iranian general Mohammad Ali Allah-Dadi in a Syrian-controlled area of the Golan Heights.Top Stories
acha uwongo wew,umetoa wapi iyo eti syria ana pantsir 50 katengeneza kwake nini mbon tunaongopean nduguSwali la kujiuliza ni how Israeli warplanes was able t evade syria air defenses?!
List ya Syria Air DefencesView attachment 482452
Nicholas Elungata Sexer izzo
mohamedidrisa789
Mkuu ningeomba upinge hoja kwa hoja, Mara nyingi umekua ukikataa kwamba Jeshi la Syria halina Pantsir wakat data kibao zinaonyesha uwepo wake.ume
acha uwongo wew,umetoa wapi iyo eti syria ana pantsir 50 katengeneza kwake nini mbon tunaongopean ndugu
Sasa hizo zilizodondoshwa ziko wapi hata mabaki yake?! Maaana km mabaki ya kombora tumeyaona mpakani kwa Jordan na ya ndege nayo yapo wapi?!leo japo sijaona ila kwakweli naamini myahudi leo amepoteza ndege moja,, na nyingine moja SAMs za Syria nina hakika zimefanikiwa kuibusu.. mbili ndo ziliweza kutoroka
Syria ndo zao kusema kwamba wametungua ndege za Israel kila baada ya shambulizi. Hyo ilikua mwaka jana walidai wamezitungua kumbe uongo.Hv Israel ndege zake zingekua zinatunguliwa unadhan Israel angekua anathubutu kuingiza ndege zake ndani ya Syria?leo japo sijaona ila kwakweli naamini myahudi leo amepoteza ndege moja,, na nyingine moja SAMs za Syria nina hakika zimefanikiwa kuibusu.. mbili ndo ziliweza kutoroka