Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Mkuu MziziMkavu si kila kitu kinastahili kuwekwa humu jamani! Dah! najuta kufungua huu uzi. Nilikuja tu kusema nimefurahi kukuona humu baada ya vurumai za jana za wajeda uchwara kutaka kuchukua nchi Turkey na kuwaacha watu karibu 200 wakiwa wamepoteza maisha.
Mkuu hii habari toka juzi nimeona lakini sikutaka kabisa kuileta kwa sababu hata kuitazama sijataka ,hizo picha sijatazama nimesoma habari tu,
Mods wangefanya busara kuondoa picha hizo ingekuwa jambo la maana sana