Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,717
Ni kweli uchumi wa mafuta hauwezi ku collapse kirahisi hivo. Marekani yenyewe kwenye top ten ya makampuni makubwa kuna kama makampuni matatu ya mafuta na marekani ina maslahi makubwa sana na biashara ya mafuta. Halafu nadhani timing ya mada imekuja wakati oil sasa inaelekea ku consolidate kwenye price ya $50 per barrel nilidhani hii mada ingekuja kwenye mwezi wa kwanza wakati oil ilivokuwa $26 per barrel.Umeongea vyema kabisa.
Nishati mbadala itakuja ila sio kwa kiasi cha kusema mafuta hayahitajiki tena.
Mahitaji ya mafuta yataendelea kuwepo labda itokee miaka 50 ijayo ndo tutaongea kupungua kwa mahitaji.
Davion Delmonte Jr. kuja huku kuna mada tamu sana.