Baada ya uvamizi wa Syria na Iraq nchi za magharibi zinajiaanda kuivamia Libya. Syria iliomba msaada wa kijeshi kutoka Urusi ili kuiwwezesha Syria kuwapiga magaidi kama ISIS/ISIL/DAESH, Al-Nusra Front, FSA etc.. Msaada wa urusi umeleta matumaini kwa serikari ya Assad baada ya kushuudia kudhibiti maeneo mengi yaliyokuwa chini ya udhibiti wa magaidi baada ya hapo magaidi hao kwa sehemu kubwa wameanza kukimbilia nchi tajiri ya mafuta Libya. Hivyo kupelekea nchi za kimagharibi kujiandaa kuivamia Lybia, lakini pia wakiwa na lengo la kuingoa serikari ambayo hawaiungi mkono na kuiacha serikali moja pekee ambayo wanaiunga mkono.
Hawa walibya hawatomsahau kanali muhamar Gaddafi,nakumbuka kipindi marekani aliichokoza Irani kinamna Fulani ayatollah wao akawaweka sawa,na uzuri Wa Wa Irani wako educated sana,so ilisaidia kuwa united against west na allies wake

Dunia itakuwa na amani mpaka taifa la USA litakapondondoka, hili taifa sijui lina laana kila siku kupigana vita , tena vita yenyewe wao ndiyo wachokozi, Ndio maana hawa jamaa US wakiuwana wenyewe kwa wenyewe watu wanashangilia