Nchi tisa zinazomiliki aircraft carrier duniani

China wanatengeneza 2 simuliteniously,ya sasa ilikuwa kwa ajili ya mafunzo sanasana.
Turkey wanaunda yao.
Pia iran wako kwenye mkakati huo
Hapa hatuongelei mikakati coz mingi inakuaga siri ya nchi husika, zikishatoka ndio ulete hapa coz ata hizo nchi kwenye list ukute wapo pia kwenye mikakati kuongeza.
 
Katika dunia ya sasa yenye 5th generation military technology hakuna sababu ya kuwa na Aircraft Carrier nyingi na ndo maana ukiangalia nying zimetengeneza nyuma ya mwaka 1990 sasa mabadiliko mengi sana yametokea ndani ya miaka kuanzia 1992 mpaka sasa technology ya kijeshi imekuwa kubwa sana na majeshi mengi yamewekeza ktk anga sana kuliko majini au aridhini kwani ukiangalia angani kunapunguza sana umbali ukilinganisha na aridhini au majini
 
We mleta mada unatokea mkoa gani? Ya Tanzania si hii hapa?

Ferry_loading.jpg
Ww mbona mshamba hiyo ni aircraft carrier ? Nyie ndiyo yale majinga ya kupinga hata yaliyo mazuri
 
Japan na Germany baada ya vita ya pili ya dunia majeshi yao yalikua controlled na umoja wa mataifa, na wana mikataba mingi ya ulinzi ndio maana walicut budget spending jeshini.
Yeah ni kweli. Na kwa sasa hawataki kabisa kusikia mambo ya vita
 
Katika dunia ya sasa yenye 5th generation military technology hakuna sababu ya kuwa na Aircraft Carrier nyingi na ndo maana ukiangalia nying zimetengeneza nyuma ya mwaka 1990 sasa mabadiliko mengi sana yametokea ndani ya miaka kuanzia 1992 mpaka sasa technology ya kijeshi imekuwa kubwa sana na majeshi mengi yamewekeza ktk anga sana kuliko majini au aridhini kwani ukiangalia angani kunapunguza sana umbali ukilinganisha na aridhini au majini
Nadhani hujaielewa mada.

Soma tena na tena au mshirikishe jirani yako
 
Katika dunia ya sasa yenye 5th generation military technology hakuna sababu ya kuwa na Aircraft Carrier nyingi na ndo maana ukiangalia nying zimetengeneza nyuma ya mwaka 1990 sasa mabadiliko mengi sana yametokea ndani ya miaka kuanzia 1992 mpaka sasa technology ya kijeshi imekuwa kubwa sana na majeshi mengi yamewekeza ktk anga sana kuliko majini au aridhini kwani ukiangalia angani kunapunguza sana umbali ukilinganisha na aridhini au majini
Kwa maelezo yako ina maanisha bado kuna umuhimu wa hizi aircraft carrier kwa sababu zinabeba ndege
 
Jeshi la US ndilo lenye vifaa vingi na bora zaidi, ata budget yao ni kubwa kuliko jeshi lolote ingawa jeshi la China lina active soldiers wengi kuliko USA, Russia ana moja tu, China nayo moja tena haina miaka mingi in service.
Duuuh
 
Back
Top Bottom