Nchi 10 zenye furaha Africa

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
2,932
4,542
Kwa mujibu wa jarida la "The world this week "la Australia, zifuatazo nchi ambazo watu wake wana amani na furaha tele moyoni.
1.Tanzania
2.Uganda
3.Kenya
4.Malawi
5.Zimbabwe
6.Msumbiji
7.Nigeria
8.Rwanda
9.Zambia
10.Mali
Wakuu msinishike uchawi, mjumbe hauawi nimeleta Kama nilivyoikuta.
 
"Usione ninaimba ukadhani ninayo furaha moyoni" : Remy Ongala. Aliyefanya utafiti labda alipita na kuwahoji watu wa mitaa ya luthuli, Shaaban Robert, Barack Obama, Milambo,Ohio nk, ambayo inapatikana kata ya kivukoni dsm. Angekuja kwetu tandale aone kama kweli tuna furaha!
 
Mmmh! Watanzania wa wapi hao wenye furaha? Labda hao wenzetu wabeba maboksi huko ndo wametuwakilisha. Naona East Africa yote ni furaha tele. Nipisheni nipite mie
Unaendeleaje na hali yako,umeshapona?
 
Magamba ya lumumba hayo,yameanza na fake news ya bashite kupata PHD,yakaja na Trumpkumsifia magufuli sasa yanatuaminisha Tz ni nchi amabayo raia wake wana furaha,naomebeni mpuuze haya maujinga,hapa sio facebook wala insta pa kufanyana wajinga,hakuna gazeti kama hilo australia
official list ya happiest countries iliyotoka last year hi hapa
Africa's 'happiest' countries revealed - CNN.com

tena Tanzania ipo katika nchi zisizo na furaha,UNHAPPY COUNTRIESA
Unhappy Africa
While countries such as Algeria and Mauritius ranked reasonably high on the global list, eight of the last ten globally are in Sub-Saharan Africa: Madagascar, Tanzania, Liberia, Guinea, Rwanda, Benin, Togo and Burundi, which is at the very bottom of the list and ranked worse than Syria and Afghanistan, the countries that round up the most unfortunate 10.
Lagos-based writer Yomi Kazeem argues that this far from ideal state of affairs could send a good signal, in the form of "growing awareness among a young, discerning generation of Africans who are more critical and conscious of the shortcomings of their governments, leaders, and local institutions."
 
Vigezo vipi vipi vilitumika?
ACHANA TUPO TOP TEN YA NCHI ZISIZO NA FURAHA,UNHAPPY AFRICA
Unhappy Africa
While countries such as Algeria and Mauritius ranked reasonably high on the global list, eight of the last ten globally are in Sub-Saharan Africa: Madagascar, Tanzania, Liberia, Guinea, Rwanda, Benin, Togo and Burundi, which is at the very bottom of the list and ranked worse than Syria and Afghanistan, the countries that round up the most unfortunate 10.
Lagos-based writer Yomi Kazeem argues that this far from ideal state of affairs could send a good signal, in the form of "growing awareness among a young, discerning generation of Africans who are more critical and conscious of the shortcomings of their governments, leaders, and local institutions."
 
Ivi apo Nigeria wanafuraha gan kila kukicha wanawaza boko haram,Uganda waasi ....wazungu cyo wakuwafuata vingine wazugaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…