Nawezaje kupata vibali vya kusafirisha nyama nje ya nchi?

Alidekyi

Member
Sep 7, 2020
47
69
Habari za kwenu wana jamii nauliza kama kuna mtu anajua nawezaje pata vibali vya kuexport nyama nje ya Tz naomba msaada tafadhali.
 
Utatafsiri mwenyewe, chanzo ni Meat Export Business Opportunities in Tanzania

The prospective exporter should:-​
  • obtain certificate of origin from Tanzania Chamber of Commerce and Agriculture at a fee ranging from TZS. 25,000 up to 55,000 depending of the volume of meat export.​
  • The exporter should obtain Certificate for safety and quality compliance for products from Tanzania Meat Board​
 
Back
Top Bottom