Nawezaje kumwambia mtu kuwa mdomo wake unatoa harufu kali bila kumuudhi?

M45

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
908
1,022
Yaani niko mahali na mtu mdomo unatoa harufu kali mpaka hewa inakuwa nzito, sasa ukimuangalia ni kijana mdogo miaka 21.

Naombeni namna ya kumwambia kama mdomo wake unatoa harufu bila kumuudhi, maana nahisi watu wengine hawawezi kuvumilia hiyo harufu inayotoka.
 
Kama ni mpenzi wako au mtu wako wa karibu basi jaribu kufanya usafi wa kinywa pamoja nae. Mfano wakati wa kuswaki nenda nae mswaki pamoja. Mfundishe namna ya kuremove tonsil stones na ikiwezekana mwambie asitu ie vyakula vinanikisha mdomo kama vitunguu swaumu
 
Yaani niko mahali na mtu mdomo unatoa harufu kali mpaka hewa inakuwa nzito,sasa ukimuangalia ni kijana mdogo miaka 21, mdomo unatoa harufu mpaka nasema anaku..nya kupitia mdomo? Naombeni namna ya kumwambia kama mdomo wake unatoa harufu bila kumuudhi,maana nahisi watu wengine hawawezi kuvumilia hiyo harufu inayotoka.
Sasa mtoto mdogo kama huyo unashindwa nini kumwambia aache ujingaujinga na akapige mswaki?Kuna mambo hayahitaji upole na kubembelezana.
 
Yaani niko mahali na mtu mdomo unatoa harufu kali mpaka hewa inakuwa nzito, sasa ukimuangalia ni kijana mdogo miaka 21, mdomo unatoa harufu mpaka nasema anakunya kupitia mdomo?

Naombeni namna ya kumwambia kama mdomo wake unatoa harufu bila kumuudhi, maana nahisi watu wengine hawawezi kuvumilia hiyo harufu inayotoka.
Wakwako unauhakika haunuki lakini?
 
Yaani niko mahali na mtu mdomo unatoa harufu kali mpaka hewa inakuwa nzito,sasa ukimuangalia ni kijana mdogo miaka 21, mdomo unatoa harufu mpaka nasema anaku..nya kupitia mdomo? Naombeni namna ya kumwambia kama mdomo wake unatoa harufu bila kumuudhi,maana nahisi watu wengine hawawezi kuvumilia hiyo harufu inayotoka.
Mkaribishe mgahawani halafu mwite mhudumu, ukimpa oda akienda kuchukua oda jisemeshe " huyu mhudumu hajui kupiga mswaki, yaani mdomo wake unanuka kama choo!!!" Halafu unaelezea namna ya kupiga mswaki kiusahihi
 
Okay, itategemea na urafiki wenu ila kama ni mwana, unamuambia tu.

Kuna siku nilitoka home jumamosi ni kubadirisha bar tu sikurudi hadi Jumatatu nikaamkia kazini, nikafika nisema napuch kwnye scanner kisha nasepa, duh nakuta HOD kaniita kuna kazi tufanye kwa pamoja tunatumia PC moja.

Kumbe mdomo unatema, tunaanza tu kazi akajiexcuse akaja na big G mbili akanipa tukaendelea. Nikajiongeza.

Uyo mshikaji unaweza mnunulia zile dawa za kutoa harufu afu unamwambia man sometimes unakua na strong smell, achana na whitedent inaonekana inekukataa jaribu hii sensodyne.
 
Ungekuwa unatowa harufu ningejuwa mkuu

Kwanza si rahisi kujisikia mwenyewe, hakuna zaidi ya kuhudhulia dental clinic kusafisha meno mara kwa mara (Scalling and Polishing pia Tooth Filling) kuna wakati meno yanachimbika na uchafu unakaa ndani kiasi kuwa mswaki hauwezi kufikia huko pia na kupata malekezo ya kina kuhusu afya ya usafi wa kinywa.
 
Yaani niko mahali na mtu mdomo unatoa harufu kali mpaka hewa inakuwa nzito, sasa ukimuangalia ni kijana mdogo miaka 21.

Naombeni namna ya kumwambia kama mdomo wake unatoa harufu bila kumuudhi, maana nahisi watu wengine hawawezi kuvumilia hiyo harufu inayotoka.

Kîla ukikutana na Mimi Njoo na pipi kata harufu. Nitajiongeza
 
Yaani niko mahali na mtu mdomo unatoa harufu kali mpaka hewa inakuwa nzito, sasa ukimuangalia ni kijana mdogo miaka 21.

Naombeni namna ya kumwambia kama mdomo wake unatoa harufu bila kumuudhi, maana nahisi watu wengine hawawezi kuvumilia hiyo harufu inayotoka.
Mpe bazoka usimwambie
 
Okay, itategemea na urafiki wenu ila kama ni mwana, unamuambia tu.

Kuna siku nilitoka home jumamosi ni kubadirisha bar tu sikurudi hadi Jumatatu nikaamkia kazini, nikafika nisema napuch kwnye scanner kisha nasepa, duh nakuta HOD kaniita kuna kazi tufanye kwa pamoja tunatumia PC moja.

Kumbe mdomo unatema, tunaanza tu kazi akajiexcuse akaja na big G mbili akanipa tukaendelea. Nikajiongeza.

Uyo mshikaji unaweza mnunulia zile dawa za kutoa harufu afu unamwambia man sometimes unakua na strong smell, achana na whitedent inaonekana inekukataa jaribu hii sensodyne.
aseeeh uli aibikaa brooh.
 
Back
Top Bottom