Nawatafuta watu hawa (nimesoma nao kibasila msingi)

Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,590
3,626
Namtafuta (Boyz)
(1) Arthur Mjema
(2) Mvano Mandawa
(3) Ombeni Mnzava
(4) Zabron Mihambo


Girls:-

(1) Lilian Ngowi
(2) Lilian Pasape
(3) Serina John

Mwenye CONNECTION na Watu hawa naomba ani PM...niko Siriaz (FOR REAL)

Nahaidi KURUDISHA hasante ya VOCHA...
 
Acha kupoteza muda kutafuta watu wanaotafuta vipato vyao, Fanya yako ili siku mkipishana ni mi honi tu barabarani, usisahau kwamba Milima haikutani ila binadamu wanakutana....hivyo haina haja ya kuwatafuta!!
 
Mkuu huwezi kuwapata maana wote hao wanavyeti fake...
 
Toa matangazo ya vifo vyao Radio One, alafu utashangaa watakuja faster.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…