Nauza viti na Meza yake

Amani 2015

Member
Dec 28, 2014
82
14
....Nauza viti na meza yake vinafaa sana kwa ajili ya kuweka sehemu ya dinning au Officene au kuweka kwa nje kwa ajili ya kupumzikia... Ni vizuri sana.. Ni product kutoka South Africa... Bei ni laki nne (400,000) kwa vyote... Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunicheck kwa number 0713 590607.. Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…