Pikipiki Ipo katika hali nzuri nauza kwasababu inakaa ndani tu ni Aina ya SKYMARK bei ni 800,000 maongezi yapo, inafaa kwa biashara pia kwa matumizi binafsi, kwa sababu ni mashine ya ukweli, njoo tuzungumze nikuache kitu cha ukweli, nipo mwenge DSM nichek kwa 0713415537..
huyu mtu hata sio muuzaji , mnajisumbua tuu bure, mi nimeenda mpaka pale africasana hapokei simu , baadae anasema mara hana ufunguo , kesho yake akanambia atanitafuta nilipo aje ubungo , lakini akipigiwa simu hapokei ... nawashauri , mnaonunua pikipiki , plz dont try this , ina mashaka mengi n u will get into troublepoa mkuu nakutumia
Mkuu Nina uhakika na ninachokifanya,huyu mtu hata sio muuzaji , mnajisumbua tuu bure, mi nimeenda mpaka pale africasana hapokei simu , baadae anasema mara hana ufunguo , kesho yake akanambia atanitafuta nilipo aje ubungo , lakini akipigiwa simu hapokei ... nawashauri , mnaonunua pikipiki , plz dont try this , ina mashaka mengi n u will get into trouble