Nauza migebuka jumla na rejareja

Mi mbn siwajui ni sijawahi kuwala

unnamed%2B%252826%2529.jpg
 
Jaribu kuwa serious kama kweli una biashara. KIMARA ni eneo kubwa sana, kuanzia Kilungule mpaka Bonyokwa. Upo Kimara ipi?

Si kila mtu atapenda umjue yeye ni nani kwa hiyo hakuna order nyingi utapata kwa mtindo huu. Kama unauza migebuka weka namba ya simu tu utaona orders zinakuja
 
Jamn..rejea tangazo langu hapo juu,lina namba ya simu..!
 
wanapikwaje ?
Umenkumbusha rafiki yngu ni mchaga anasemaga wale samaki walokunjwa kama kaukau
Ni rahisi tu, unaloeka kwenye maji ya uvuguvugu asubuhi,mchana unaandaa viungo kama wengine then unawapika baada ya kutoa kichwa na miba
 
okey sasa hawatachambuka ukiwatoa kwenye miba?
 
Back
Top Bottom