Dominick 1986
Member
- Jun 1, 2016
- 12
- 47
Jamani nina eneo chanika ila kwasasa naishi nje ya dar nimeshindwa kuliendeleza kwasababu nimebanwa sana sehem niliyoajiriwa so nina hofu litavamiwa sasa naona bora niliuze. 0763006200/0718006200.
Huyu atakuwa TAPELI tu.Sasa na tangazo lako kwann hukuliweka huko whatsapp?
5m tuuu mkuuu unatania ama.........Lipo maeneo ya chanika majumba 6, nataka 5,000,000/= na sio utapeli wakuu
Chanika majumba 6 au ukonga majumba 6?Lipo maeneo ya chanika majumba 6, nataka 5,000,000/= na sio utapeli wakuu
Basi ungepost huko whatsapp mkuu....toa bei hapaMwenye mahitaji aje whatsapp 0763006200 tuelewana