Nauza cm Nokia lumia 710 bei chee

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Habar wakuu nauza cm yangu ya Nokia Lumia 710 IPO katika hali nzuri mno bei sh elfu 80 sababu za kuuza ni kwamba Window phone imenitoa jasho nimezoea Android akina Tecno kama Kuna yeyote anaehitaji piga 0789047874/0763772636 unaweza Ata kutext tu me nipo Mwanza Chuo cha SAUT nimeshindwa ku upload picha so kama wahitaji nichek Niku whatsapp karibun
 
Back
Top Bottom