Nauza bidhaa za chuma kama vitanda,dressing table

Desmond Kamala

Senior Member
Feb 20, 2014
134
8
bidhaa zote za aina ya chuma kama vile vitanda,dressing table,mageti,milango,fensi n.k nicheki 0757569232 au 0624055251
 
Attachments

  • 1804094.jpg
    1804094.jpg
    23.8 KB · Views: 998
  • 1804403.jpg
    1804403.jpg
    18 KB · Views: 817
  • 1804539.jpg
    1804539.jpg
    17.9 KB · Views: 858
Tangazo gani hili mkuu weka details zote sio watu waanze kukutafuta tena inbox enzi za ujanja ujanja zimeisha bana weka apo bei na bidhaa watu waelewe kinaghaubaga
 
Tangazo gani hili mkuu weka details zote sio watu waanze kukutafuta tena inbox enzi za ujanja ujanja zimeisha bana weka apo bei na bidhaa watu waelewe kinaghaubaga
kuna vitanda 5^6 bei laki 3 6^6 bei laki tatu na nusu dressing table ndogo bei laki mbili na 20..pia tunapokea oda za bidhaa mbalimbali za chuma
 
kuna vitanda 5^6 bei laki 3 6^6 bei laki tatu na nusu dressing table ndogo bei laki mbili na 20..pia tunapokea oda za bidhaa mbalimbali za chuma
Uko wapi mbona huajasema au unataka mtu yuko mafia akupigie simu uko Tarime hiyo biashara mtaifanya vipi
 
Tangazo LA ovyo ovyo,yaani halijakizi kabsa vigezo LA tangazo.
 
Back
Top Bottom